1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Iraq kama alama ya kushindwa siasa za kilimwengu

Mohammed Khelef27 Agosti 2014

Mkakati wa Rais Barack Obama nchini Iraq unakosolewa na kila upande, wengine wakisema umejikita sana mahala pamoja tu na wengine wakisema ni ya wazi sana, lakini je makosa ni yake peke yake?

https://p.dw.com/p/1D2gb
Waziri Mkuu wa Iraq, Haidar al-Abadi.
Waziri Mkuu wa Iraq, Haidar al-Abadi.Picha: Reuters

Katika makala hii ya Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anawaalika wachambuzi wa siasa za Mashariki ya Kati na Ghuba ya Ajemi kujadiliana nao juu ya hali ya Iraq, muendelezo wa siasa za kilimwengu kwenye eneo hilo na mustakabali wa amani na usalama katika wakati ambapo Marekani inaonekana wazi kutaka kujiingiza tena kijeshi.

Kusikiliza mjadala huu, tafadhali bonyenza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo