1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jaji Joseph Warioba atoa wito wa kuifanyia mabadiliko katiba ya Tanzania

8 Agosti 2007

Katika mkutano uliokuwa unajadili mabadiliko ya katiba baina ya vyama vya siasa nchini Tanzania, jaji Joseph Sinde Warioba,ambaye aliwahi kushika wadhifa wa waziri mkuu katika serikali ya awamu ya pili, alitoa wito wa kuangalia uwezekano wa kuifanyia mabadiliko katiba ya Tanzania.

https://p.dw.com/p/CH9t
Sekione Kitojo alizungumza na Jaji Warioba na kutaka kuja kwa nini anaona umuhimu wa kuwa na katiba mpya hivi sasa.