1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JAKARTA: Boti yazama pwani ya Indonesia

20 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7EO

Nchini Indonesia,boti iliyojaa watu imezama baharini nje ya pwani ya kisiwa cha Sulawesi.Hadi watu 29 wamepoteza maisha yao na wengi bado wanakosekana.Ripoti zinazogongana zinasema boti hiyo ilikuwa na kati ya watu 80 hadi 150.