1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupata mkopo kutoka China

16 Oktoba 2007

China inatowa mkopo wa dola bilioni 14 kwa DRC. Fedha hizo zitahusu ujenzi wa nchi hiyo kupitia sekta ya kilimo,afya,elimu na miundombinu.

https://p.dw.com/p/C7hU

Lakini shirika la fedha ulimwenguni limeionya serikali

ya kongo kuhusu ukubwa wa deni kwamba linaweza kuiweka

nchi hiyo katika utumwa wa miaka nyingi.

Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo