1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jarida la Forbes lawataja wanawake bilionea

Lilian Mtono
16 Machi 2018

Jarida maarufu la Forbes lilichapisha orodha ya mabilionea duniani kupitia. Ni orodha ambao hutolewa kila mwaka. Kwa mwaka huu, orodha hiyo inaonyesha kati ya mabilionea zaidi ya 2000 duniani, ni wanawake 256 walioingia kwenye orodha hiyo. Kwa ujumla wanawake wote hao wana utajiri wa Dola trilioni 1, ikiwa ni ongezeko la asilimia 20 mwaka huu. Ungana naye Lilian Mtono kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/2uSVW