1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Jumuiya ya Madola ina nafasi tena?

30 Novemba 2011

Baada ya kupita zaidi ya miongo minne ya kumalizika kwa ukoloni wa moja kwa moja wa Ufalme ya Uingereza duniani, suali linaloulizwa ni ikiwa bado Jumuiya ya Madola ina umuhimu kwa mahusiano kati ya makoloni hayo.

https://p.dw.com/p/13JwR
Malkia wa Uingereza na Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Malkia Elizabeth(katikati).
Malkia wa Uingereza na Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Malkia Elizabeth(katikati).Picha: picture-alliance/dpa

Sudi Mnette anafuatilia maoni ya raia katika mataifa yaliyokuwa makoloni ya Uingereza, kujua umuhimu na nafasi ya Jumuiya ya Madola katika maisha ya sasa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Makala: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji