1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, mdahalo wa Kenya umesaidia?

13 Februari 2013

Wagombea wa urais wa Kenya walichuana katika mdahalo wa kihistoria wakigusia masuala ya elimu, afya, usalama, lakini likazuka pia suala tete la wagombea kukabiliwa na kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).

https://p.dw.com/p/17cnE
Mdahalo wa Wagombea wa Urais,Kenya
Mdahalo wa Wagombea wa Urais,KenyaPicha: Reuters

Mdahalo huo uliochukua takribani muda wa masaa matatu na nusu na kutangazwa moja kwa moja katika televisheni nchini humo, umebadili kweli mawazo ya wakenya juu ya nani watakayempigia kura katika uchaguzi mkuu ujao? Ni swali ambalo Amina Abubakara alimuuliza mchambuzi wa siasa nchini humo, Okongo Omogeni.

Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman