1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, muungano wa NASA wayumba Kenya?

Josephat Charo
21 Februari 2018

Kumejitokeza hali ya sintofahamu katika muungano wa upinzani nchini Kenya NASA huku vyama vinavyouunda muungano huo vikionekana kutaka kujisimamia vyenyewe katika masuala yanayohusu siasa za taifa. Thelma Mwadzaya anazungumza na Norman Magaya, msemaji wa muungano wa NASA, katika kipindi cha Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2t30R