1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unaishi maisha gani kijana wa Kiafrika?

Yusra Buwayhid
18 Aprili 2018

Vijana Mubashara, 77 asilimia, inakuuliza kijana unaishi maisha ya aina gani, uliojipangia mwenyewe au yale uliopangiwa na wazazi wako? Sikiliza majibu ya vijana mbalimbali kutoka barani Afrika.

https://p.dw.com/p/2wF9j