1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jean Pierre Bemba asafiri kwenda Ureno kwa matibabu

11 Aprili 2007

Kiongozi wa upinzani Bw. Jean Pierre Bemba amesafiri na familia yake kwenda Ureno kwa ajili ya matibabu kwa kipindi cha miezi miwili.

https://p.dw.com/p/CB4n
Kiongozi wa Upinzani Jean Pierre Bemba
Kiongozi wa Upinzani Jean Pierre BembaPicha: AP Photo

Bemba aliondoka mjini Kinshasa chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa umoja wa mataifa waliomsindikiza hadi kwenye uwanja wa ndege.Kwa wakati huohuo waziri wa Ubelgiji wa mambo ya nje amewasili nchini humu kwa ziara ya siku mbili.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti kamili kutoka Kinshasa.