1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joseph Butiku na tathmini ya miaka 47 ya CCM

Sudi Mnette
5 Februari 2024

CCM imetimiza miaka 47 tangu kuzaliwa kwake ikiwa ni matokeo ya kuunganishwa kwa vyama vya TANU kwa upande wa iliyokuwa Tanganyika na ASP kilichokuwa kikitawala Zanzibar. Katika mahojiano ya Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakfu wa Mwalimu Nyerere, kada wa muda mrefu wa CCM ambae pia amehudumu katika serikali ya Tanzania na chama hicho, Joseph Butiku.

https://p.dw.com/p/4c49m