1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi zinazofanywa na shirika la Senegalese Dream

6 Julai 2015

Fanta Diallo ni mwanaharakati wa kijamii anayeamini kuwa nchi yake ya Senegal ina mustakabali bora.

https://p.dw.com/p/1FteA

Yeye ni muasisi wa shirika la Senegalese Dream – yaani Ndoto ya Senegal, ili kujaribu kuwashawishi vijana wa Kiafrika wanaotarajia kupata kazi Ulaya kuichagua Senegal.