1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya za kiraia – Kipindi 5 - Madhehebu

7 Aprili 2011

Tuangazie madhehebu barani Afrika, waumini, wakufunzi wao na wale wanaodai kuwa wao ni mitume yao. Tutafahamishwa kuhusu madhehebu ya Uganda pamoja na msiba mkubwa unaohusishwa nayo uliotokea miongo kadhaa iliyopita.

https://p.dw.com/p/Q1K8