1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya za kiraia – Kipindi 8 - Matangazo

7 Aprili 2011

Kipindi hiki kinahusu matangazo. Kila mahali. Kwenye mabango, kwenye televisheni, redioni na hata kwenye nguo. Yanavutia watu wengi kununua bidhaa. Hebu tuangalie hali ilivyo nchini Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/Q1L9