1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabila azungumzia matukio ya wiki iliopita

27 Machi 2007

Ni juu ya utumiaji nguvu ya jeshi la DRC katika kupambana na walinzi wa Jean Pierre Bemba mjini Kinshasa wiki iliopita.

https://p.dw.com/p/CHHT
Jeshi la Umoja wa Mataifa mjini Kinshasa
Jeshi la Umoja wa Mataifa mjini KinshasaPicha: AP

Kwenye mkutano na wandishi wa habari rais Kabila ametupilia mbali mazungumzo ya aina yeyote ile na bwana Bemba, na kuendelea kusema kwamba Bemba na watu wake wanapaswa kujibu kwa yale walioyatenda.

Sikilita taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.