1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamerun na Misri kupambana fainali

8 Februari 2008
https://p.dw.com/p/D4DL

KUMASI:

Katika fainali ya kuwania Kombe la Afrika,Misri inayotetea ubingwa wake itapambana na Kamerun siku ya Jumapili mjini Accra.Katika nusu fainali iliyochezwa siku ya Alkhamisi mjini Kumasi,Misri iliipachika Ivory Coast mabao 4-1.

Wakati huo huo Kamerun imejipatia tikti ya kuingia katika fainali baada ya kuwakandika wenyeji Ghana bao 1-0.