1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya Mama Misitu nchini Tanzania

13 Mei 2016

Mama Misitu Campaign ni mradi unaosimamia uzalishaji wa mkaa endelevu kuwahamasisha wachomaji mkaa kukata miti kutoka maeneo yaliyosajiliwa na mali asili wapate elimu kuhusu uchomaji mkaa na upandaji miti.

https://p.dw.com/p/1Ind4
Tansania Shinyanga
Picha: DW/V. Natalis