1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karatasi za kupigia kura zatarajiwa kuwasili Visiwani Zanzibar

27 Oktoba 2010

Tunaanzia huko nchini Tanzania ambapo homa ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii inazidi kupanda na kwa upande wa visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/PoCo
Uchaguzi Tanzania wakaribiaPicha: Mohammed Khelef

Maandalizi yanashika kasi ambako karatasi za kupigia kura zinatarajiwa kuwasili visiwani humo muda wowote kuanzia hivi sasa, kama anavyotuarifu zaidi mwandishi wetu wa huko, Salma Said:

Mtayarishaji: Salma Said

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Miraji Othman