1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kauli ya Putin kuhusu silaha za nyuklia inatoa kitisho gani?

Josephine Karema13 Machi 2024

Sikiliza tathmini ya kina kutoka kwake Mohammed Abdulrahman mchambuzi wa siasa za kimataifa juu ya kauli ya Rais Vladimir Putin kwamba Urusi iko tayari kutumia silaha za nyuklia.

https://p.dw.com/p/4dTl4