1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenia: Kongamano la Kielelezo cha Umoja wa Mataifa

14 Februari 2012

Kongamano la Kielelezo cha Umoja wa Mataifa Afrika Mashariki linalojumuisha wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu kutoka mataifa 195 wanachama wa Umoja wa Mataifa limefunguliwa leo hapa Nairobi.

https://p.dw.com/p/142zr
Jiji la Nairobi kunakofanyika Kongamano la Kielelezo
Jiji la Nairobi kunakofanyika Kongamano la KielelezoPicha: picture-alliance/ dpa

Kongamano hilo ambalo kauli mbiu yake ni “kujenga msingi kwa vijana kuwa viongozi wa kesho” linahudhuriwa na wajumbe wapatao 900

Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na Taarifa hiyo.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi