1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenia: Mkutano kuhusu kura ya Maoni nchini Sudan

5 Januari 2011

Raia wa Sudan ya Kusini wajiandaa na kura ya maoni.

https://p.dw.com/p/ztxV
Rais Omar al-Bashir, wa Sudan akiwahutubia mawaziri huko Juba,Sudan ya Kusini siku chache kabla ya kura ya maoniPicha: dapd

Zikiwa zimebaki siku tatu kwa raia wa Sudan ya kusini kupiga kura ya maoni kuamua iwapo eneo hilo litajitenga na Sudan ya kaskazini ama la, Kenya imekuwa ikijiandaa kwa kila hali kukabiliana na matokeo ya kura hiyo.

Mwandishi wetu kutoka Nairobi Alfredy Kiti ametutumia taarifa zaidi kutoka Nairobi.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Josephat Charo