1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Mtu mmoja afariki kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa

16 Mei 2012

Nchini Kenya mtu mmoja amefariki na kujeruhiwa kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa.

https://p.dw.com/p/14wIu
Shambulio la Gruneti mjini Mombasa
Shambulio la Gruneti mjini MombasaPicha: picture alliance/landov

Shambulio hili linatokea wiki chache tu baada ya shambulio jengine lililoelekezwa kanisani Jijini Nairobi. Maafisa wa Polisi bado wanaendelea na uchunguzi ingawa tayari kidole kinaelekezewa kundi la kigaidi la Wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia.

Mwandishi wetu Eric Ponda na Taarifa zaidi kutoka Mombasa.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Eric Ponda

Mhariri: Othman Miraji