1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Shambulizi la Gruneti jijini Nairobi

19 Novemba 2012

Wananchi wenye ghadabu leo wameandamana katika Mtaa wa Eastleigh mjini Nairobi kufuatia shambulizi la guruneti.

https://p.dw.com/p/16lkX
Shambulizi la Gruneti lililofanyika kwenye gari la abiria mtaa wa Eastleigh,Nairobi
Shambulizi la Gruneti lililofanyika kwenye gari la abiria mtaa wa Eastleigh,NairobiPicha: dapd

Shambulio hilo lililotekelezwa katika gari moja la abiria hapo jana (18.11.2012) ambapo watu saba walifariki na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa. Polisi wa kupambana na ghasia wamekabiliana na wandamanaji hao waliopora maduka, kuharibu mali na kisha kuuteketeza msikiti mmoja katika mtaa huo wa Eastleigh.

Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa zaidi.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi