1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya washerehekea ushindi wa Rais Obama

7 Novemba 2012

Mjini Kisumu, Kenya katika kijiji cha Kogello kilomita kama 60 kutoka ziwa Viktoria, alikotoka Babake Obama, Hussein Obama,wakaazi wa eneo hilo wamekesha usiku kucha wakisubiri matokea ya uchaguzi huo.

https://p.dw.com/p/16e4k
Wananchi wa Kenya washerehekea ushindi wa Rais Barack Obama
Wananchi wa Kenya washerehekea ushindi wa Rais Barack ObamaPicha: AP

Amina Abubakar amezungumza na Waandishi wetu John Marwa aliyeko Kisumu na Alfred Kiti akiwa Nairobi wakielezea shangwe, vifijo na nderemo pale Barack Obama alipotangazwa rasmi kuwa rais wa Marekani kwa kipindi cha pili.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Yusuf Saumu