1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yaelekea wapi?

26 Juni 2014

Mwishoni mwa miaka ya '60, mshairi Abdilatif Abdulla kutoka pwani ya Kenya aliwahi kuandika shairi akiuliza "Kenya Twendapi?", swali ambalo hadi sasa limesalia bila majibu, hasa kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama.

https://p.dw.com/p/1CQuh
Mkaazi wa Mpeketoni, Kaunti ya Lamu, Kenya, akibeba bango la kutaka amani baada ya mashambulizi ya hivi karibuni.
Mkaazi wa Mpeketoni, Kaunti ya Lamu, Kenya, akibeba bango la kutaka amani baada ya mashambulizi ya hivi karibuni.Picha: Reuters

Katika kipindi hiki cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anaongoza mjadala unaomulika uwezekano wa mdahalo wa kisiasa katika taifa hilo la mashariki ya Afrika, na uwezekano wa mdahalo huo kuokoa hali isielekee kubaya zaidi.

Washiriki wa mjadala huu ni Tom Odhiambo, Koigi Wamwere, Ezekieh Gikambi na Aden Mwachu. Kusikiliza makala nzima, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman