1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yakataa kuwaongezea ulinzi majaji wa Mahakama ya Juu

Mohammed Khelef
1 Novemba 2017

Siku chache baada ya uchaguzi mpya wa uraisi nchini Kenya, serikali ya nchi hiyo yakataa kuwaongezea ulinzi majaji wa Mahakama ya Juu wanaohofia maisha yao baada ya dereva wao kupigwa risasi na maelfu wajitokeza mitaani jijini New York, Marekani, kusherehekea Halloween licha ya mashambulizi kuuwa watu wanane hapo jana. Yote na mengine ni kwenye Papo kwa Papo leo tarehe 1 Novemba 2017

https://p.dw.com/p/2mr0U