1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KHARTOUM.El Bashir asema si kweli kuwa amekubali jeshi la ushirikiano la kulinda amani

28 Novemba 2006
https://p.dw.com/p/CCoo

Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan amesema kwamba hajakubali pendekezo lolote kuhusu kupelkwa nchini mwake kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani kilicho na mchanganyiko wa jeshi la nchi za umoja wa Afrika na jeshi la umoja wa mataifa.

Kiongozi huyo amesema pendekezo hilo ni uongo na kwamba kikosi hicho kitapelekwa katika jimbo la Darfur magharibi mwa Sudan.