1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo bila udongo Zanzibar

22 Desemba 2023

Mapinduzi ya kilimo cha kutotumia udongo kinaleta chachu ya mabadiliko katika Maeneo yasiyo na ardhi yenye rutuba, visiwani Zanzibar. Kijana Rashid Ali Rashid wa kampuni ya Aatif Aquaponics anakabili changamoto ya ardhi kwa kutumia kilimo cha ndoo ili kutimiza ndoto za kufanya kilimo katika ardhi ya mawe visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4aULJ