1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo kweli uti wa mgongo Tanzania?

Anuary Mkama18 Oktoba 2017

Wanasiasa wa Tanzania kila wakati wanasisitiza kwamba kilimo ni nguzo ya muhimu zaidi kwa uchumi wa nchi. Hata Rais Magufuli ameahidi kuwasaidia zaidi wakulima. Lakini je, sekta hiyo kweli inapewa kipaumbele kinachostahili?

https://p.dw.com/p/2m4Ov