1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kimeta chalipuka Tanzania

15 Novemba 2016

Ugonjwa huo umeua wanyama mbalimbali karibu na hifadhi za Manyara, Ngorongoro na Serengeti. Mpaka sasa wanyama walioripotiwa kufa kwa ugonjwa huu ni nyumbu 85, swala 25 na pundamilia 30.

https://p.dw.com/p/2SjeZ
Pundamilia mbugani Serengeti

RIPOTI YA UGONJWA WA KIMETA 1 - MP3-Stereo