1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Miaka 30 ya utawala wa Museveni

Mohammed Khelef26 Januari 2016

Tarehe 29 Januari 1986, Yoweri Kaguta Museveni alianza rasmi kushikilia urais wa Uganda na tangu hapo amekuwa kiongozi pekee wa Afrika ya Mashariki aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi, huku akiwania tena muhula mwengine kwenye uchaguzi wa Februari 18. Wafuasi wake wanasema anastahiki kwa kuwa amefanikiwa kuitulizanisha nchi hiyo iliyokuwa ikikabiliwa na mapinduzi ya mara kwa mara.

https://p.dw.com/p/1HjuF