1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KINSHASA:Mapigano yazuka Kinshasa

22 Machi 2007
https://p.dw.com/p/CCGX

Yamezuka mapigano mjini Kinshasa, ambapo milio ya risasi imesikika karibu na makazi ya kiongozi wa Upinzani Jean Pierre Bemba.

Hata hivyo yaarifiwa ya kwamba hali imerudi kuwa tulivu mjini humo, ambapo maduka na shule zilifungwa.

Mmoja wa watu waliyoshuhudia hali hiyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu mjini Kinshasa aliyekataa kutaka jina lake. amesema kuwa walisikia kilio ya risasi na babadaye kuona wanajejshi wakikimbilia katika makazi ya Bemba.

.