1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiongozi wa Upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Jean Pierre Bemba atakiwa kushiriki kwenye vikao vya Bunge

11 Septemba 2007

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoJean Pierre Bemba,ametakiwa kurejea nchini humo kabla ya Septemba 15, ili kushiriki kwenye vikao vya Bunge.

https://p.dw.com/p/CH8J
Kiongozi wa Upinzani wa Kongo Jean Pierre Bemba
Kiongozi wa Upinzani wa Kongo Jean Pierre BembaPicha: AP Photo