1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii

Mohammed Khelef14 Januari 2016

Wakati ulimwengu wa mawasiliano ukihamia kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya mitandaoni, wafuatiliaji wa misingi ya lugha ya Kiswahili wanahofia kuwa uholela na ukosefu wa udhibiti kwenye mitandao hiyo huenda ukaiharibu zaidi lugha badala ya kuijenga. Mohammed Khelef anazungumza na Ezekiel Gikambi wa mtandao wa SWAHILI HUB wenye makao yake makuu nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/1Hcy4