1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili kwenye mitandao

Mohammed Khelef29 Agosti 2014

Matumizi ya mitandao ya kijamii yanatajwa kuinufaisha lugha ya Kiswahili kwa kupata kwake jukwaa pana zaidi la kujitangaza, kujitanua na kujieleza kwa ulimwengu.

https://p.dw.com/p/1D3dv
Meneja Mradi wa Swahili Hub, Ezekiel Gikambi.Ezekiel Gikambi
Meneja Mradi wa Swahili Hub, Ezekiel Gikambi.Picha: Mohammed Khelef

Mkurugenzi wa mtandao wa Swahili Hub anazungumza na Mohammed Khelef juu ya kinachofanywa na mtandao wake katika kuimarisha matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye jukwaa la mtandaoni. Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.