1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kofi Annan akutana na wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii.

6 Oktoba 2009

Aliyekuwa katibu mkuu umoja wa mataifa na mpatanishi mkuu katika mzozo uliotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi mkuu Bw. Kofi Annan,hii leo amefanya mkutano na wanaharakati kutoka mashirika ya kijamii jijini Nairobi.

https://p.dw.com/p/Jzb7
Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa,bw Kofí Annan.Picha: AP

Annan yuko nchini humo kutathmini hatua zilizopigwa na serikali katika kuyafanyia marekebisho maswala yanayonuia kumaliza matatizo ya muda mrefu. Jane Nyingi alizungumza na naibu mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu Hassan Omar Hassan na mmoja wa wanaharakati waliohudhuria mkutano huo na anaanza kwa kusema: