1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano juu ya maswala ya ushirika mwema na Afrika mjini Berlin

27 Aprili 2007

Kongamano juu ya maswala ya ushirika mwema na Afrika katika kuleta mageuzo imeendelea leo mjini Berlin.

https://p.dw.com/p/CHl4
Mwandalizi wa kongamano ni Baraza la Pamoja la Kanisa na Maendeleo linaloyajumuisha makanisa ya kikristo ya Ujerumani madhehebu ya kikatoliki na kiinjili katika harakati zao za misaada ya maendeleo. Mada kuu ya majadiliano leo asubuhi ilikuwa utaratibu wa huduma za afya wa kudumu.

Kwa habari zaidi sikilizeni ripoti ya mwandishi wetu Petra Stein kutoka mjini Berlin.