1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Dar es Salaam kukabiliana na uhalifu wa fedha

19 Aprili 2007

Wanasheria wa serikali kutoka nchin za Kusini na Mashariki ya Afrika wanakutana Tanzania kwa kongamano la mafunzo ya jinsi ya kukabiliana na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha.

https://p.dw.com/p/CHFs

Uhalifu huu umeripotiwa kuathiri maendeleo ya kimsing barani Afrika.

Mwandishi wetu Christopher Buke anaripoti zaidi kutoka Tanzania.