1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Kiswahili Zanzibar

Salma Said3 Julai 2023

Kwa mara nyengine Dunia inaadhimisha siku ya lugha ya Kiswahili duniani, tangu Umoja wa Mataifa kupitia taasisi yake ya UNESCO kuidhinisha tarehe saba mwezi wa saba kuwa ni siku maalum ya lugha hiyo kubwa barani Afrika. Zanzibar kumekuwepo na harakazi mbali mbali tangu Julai mosi kuelekea kilele siku ya Ijuma tarehe 7 Julai ambapo viongozi wa nchi wanatarajiwa kushiriki.

https://p.dw.com/p/4TMXo