Kongamano la viongozi wa kidini lafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
16 Mei 2012Matangazo
Makasisi,wachungaji na ma Imam wamehisi kwamba jamii ya Kongo imeharibika kabisa toka nchi hiyo kupata uhuru,kutokana na rushwa na kutokuweko na uzalendo. Kwa wakati huohuo machifu wa jadi wamepanga kukutana ili kujadili ukosefu wa usalama mashariki mwa Kongo.
Taarifa kamili namwandishi wetu Saleh Mwanamilongo:
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Othman Miraji