1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la viongozi wa kitaifa wa Kiislamu nchini Kenya

11 Aprili 2012

Jukwaa la Viongozi wa Kitaifa wa Kiislam Kenya, wako katika mchakato wa kuandaa kongamano litakalowashirikisha waumini wa dini ya Kiislam na kujadili Kenya wanayoitaka, wakati taifa hilo likijiandaa na uchaguzi mkuu.

https://p.dw.com/p/14bTM
Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi uliopita
Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi uliopita

Mwenyekiti wa Baraza la Maimamu nchini Kenya, Mohammed Dor ameyasema hayo, kama ilivyoafikiwa katika mkutano wa jukwaa hilo mwishoni mwa juma lililopita.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Pendo Paul

Mhariri: Mohamed Abdulrahman