1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la wenye ulemavu wa ngozi lafanyika Dar es Salaam

19 Novemba 2015

Mkutano huo ni wa kwanza kufanyika Afrika na unakutanisha watetezi wa haki za binadamu kutoka nchi 29 za barani Afrika. DW imezungumza na Kondo Seif anayehudhuria mkutano huo.

https://p.dw.com/p/1H8mj
Symbolbild Albinos in Afrika
Picha: Tony Karumba/AFP/Getty Images

[No title]