1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo yaongoza kwa idadi ndogo ya watumiaji wa benki

Saleh Mwanamilongo28 Desemba 2011

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yenye utajiri mkubwa wa rasilimali lakini umasikini mkubwa wa watu wake, inaongoza miongoni mwa mataifa yenye kiwango kidogo kabisa cha watu wanaoutumia huduma za kibenki.

https://p.dw.com/p/13agd
Fedha
FedhaPicha: DW

Saleh Mwanamilongo anazungumzia sababu na athari za utamaduni wa kutokuweka pesa benki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mtayarishaji: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Othman Miraji