1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Korea Kaskazini yafanya jaribio jingine la kombora la masafa marefu

13 Februari 2017

Korea Kaskazini yafanya jaribio jingine la kombora la masafa marefu, maelfu ya raia wa Mexico waandamana kumpinga Donald Trump na viongozi wa chama cha madaktari nchini Kenya wahukumiwa kifungo cha mwezi mmoja gerezani.

https://p.dw.com/p/2XUN1