1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kufungwa kwa makanisa na vilabu vya pombe mjini Kinshasa,DRC

19 Februari 2010

<p>Makanisa manane pamoja na vilabu vya kuuza pombe kadhaa vimefungwa mjini Kinshasa (DRC) kwa kuhusika na kelele za usiku na mchana.

https://p.dw.com/p/M5yf
Jiji la Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: Alexander Göbel
Hatua hiyo iliyochukuliwa na serikali imelalamikiwa na wafuasi wengi wa makanisa hayo ambao wamehisi kwamba viongozi walitakiwa kupiga marufuku kelele na sio kufunga makanisa. Kumejitokeza jijini Kinshasa miaka ya hivi karibuni mfumuko wa makanisa ya kujitegemea ambayo yanajiita makanisa ya muamko ama " wake up churches." Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Mtayarishi: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji

INSERT