Kugoma kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini Kenya
21 Julai 2008Matangazo
Siku ya Ijumaa mwanafunzi mmoja katika shule ya sekondari ya Upperhill mjini Nairobi alifariki baada ya bweni alimokuwamo kuteketezwa wakati wa migomo hiyo.Hii leo wanafunzi katika shule tatu mjini Nairobi wamegoma na kusababisha uharibifu wa mali inayokadiriwa kuwa na thamani ya mabilioni ya pesa.
Kutoka Nairobi Alfred Kiti ameandaa taarifa ifuatayo.