1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kukosekana kwa umeme wa uhakika tishio kwa uchumi Tanzania

Admin.WagnerD7 Januari 2011

Tanzania hivi sasa inakabiliwa na mgawo wa umeme, jambo ambalo linaathiri moja kwa moja shughuli za kiuchumi na uzalishaji katika nchi ambayo tangu hapo ni miongoni mwa mataifa masikini kabisa duniani.

https://p.dw.com/p/zuft
Tanzania
TanzaniaPicha: DW

Katika mazungumzo baina ya Othman Miraj na mmiliki wa viwanda na vyombo vya habari nchini Tanzania, Reginald Mengi, mfanyabiashara huyo anazungumzia namna shughuli za biashara zinavyoathirika kutokana kutokuwepo kwa umeme wa uhakika, katika nchi hiyo ya Mashariki ya Afrika.

Mwandishi: Sekione Kitojo

Mhariri: Othman Miiraj