1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na uvumbuzi mpya Kongo

Saleh Mwanamilongo10 Julai 2014

Kwa kurahisisha usafiri katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, mwanasayansi Therese Kirongozi amevumbua roboti za kuongozea magari barabarani kupitia kampuni yake ya Women Technology.

https://p.dw.com/p/1CZWM
Mhandisi Therese Kirongozi akisubiri wataalii wanaotembelea mahala anapotengeneza maroboti ya kurahisisha usafiri. Mwanamke wa kwanza kutengeneza roboti nchini DRC.
Mhandisi Therese Kirongozi akisubiri wataalii wanaotembelea mahala anapotengeneza maroboti ya kurahisisha usafiri. Mwanamke wa kwanza kutengeneza roboti nchini DRC. (DW/Saleh Mwanamilongo)Picha: DW/Saleh Mwanamilongo

Katika makala hii, Saleh Mwanamilongo anaangalia mchango wa teknolojia hii iliyobuniwa na mwanasayansi huyo wa Kikongo ndani ya ardhi ya Kongo inavyowafaidisha raia wenzake.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi