1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutekwa nyara kwa wahudumu wa Medicins Sans Frontiers nchini Kenya

14 Oktoba 2011

Nchini Kenya, wahudumu wawili wa shirika la kimataifa la kutoa msaada wa tiba, Medicins Sans Frontieres, waliotekwa nyara hapo jana wanaaminika kuwa wako katika nchi jirani ya Somalia.

https://p.dw.com/p/12rpL
Dadaab eneo walikokamatwa wahudumu wa Medicins Sans FrontieresPicha: AP

Wahudumu hao walikamatwa karibu na kazi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mwa Kenya. Pindi baada ya tukio hilo, polisi walianzisha operesheni maalum ya kuwasaka wahalifu hao kwa ndege na magari. Duru zinaeleza kuwa usalama umeimarishwa katika eneo hilo na mpaka wa Kenya na Somalia umefungwa kwa sasa. Jee, tukio hilo lina athari gani kwa Kenya? Hilo ndilo suali Thelma Mwadzaya alilomuuliza Simiyu Werunga, mchambuzi wa masuala ya usalama wa Kenya.


Mwandishi: Thelma Mwadzaya

Mhariri: Saumu Mwasimba