1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuwa polisi ni mwiba Ivory Coast

Saumu Mwasimba
27 Julai 2017

Sio kazi rahisi kuwa polisi Ivory Coast nchi ambayo iliwahi kukabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuligaa taifa hilo.Hilo limesababisha changamoto kubwa ya kiusalama

https://p.dw.com/p/2hGmO